Ufunua Wa Yohana 21:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ulikuwa na utukufu wa Mungu, uking’aa kama kito cha thamani sana, kama yaspa, na safi kama kioo.