Ufunua Wa Yohana 2:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Tena nitawaua watoto wake. Ndipo makanisa yote yatajua kwamba mimi ndiye ninayechunguza mioyo na akili za watu na kwamba nitamlipa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.