Ufunua Wa Yohana 2:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nayajua matendo yako, upendo wako, imani yako, huduma na subira yako; na kwamba matendo yako ya sasa yamezidi yale ya mwanzo.