Ufunua Wa Yohana 19:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Waliobakia waliuawa kwa upanga wa yule aketiye juu ya farasi, kwa ule upanga utokao kinywani mwake; na ndege wote wakala nyama yao mpaka wakakinai.