Ufunua Wa Yohana 18:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, “Watu wangu, tokeni kwake msije mkashiriki dhambi zake mkapati kana na maafa yatakayompata;