Ufunua Wa Yohana 17:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na zile pembe kumi ulizoziona, pamoja na huyo mnyama watamchukia huyo kahaba; watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake na kumteketeza kabisa kwa moto.