Ufunua Wa Yohana 16:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hizo ni roho za pepo zitendazo miujiza. Nazo huwaendea wafalme wa ulim wengu wote na kuwakusanya tayari kwa vita, siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.