Ufunua Wa Yohana 16:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa wa Efrati, maji yake yakakauka ili kuwatayarishia njia wafalme kutoka mashariki.