Ufunua Wa Yohana 16:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikasikia sauti kuu kutoka Hekaluni ikiwaambia wale malaika saba, “Nendeni mkamwage duniani yale mabakuli saba ya ghadhabu ya Mungu.”