Ufunua Wa Yohana 15:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Baada ya hapo nikatazama, nikaona mbinguni Hekalu, yaani hema ya ushuhuda, imefunguliwa.