Ufunua Wa Yohana 14:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hao ndio wale ambao hawakujitia unajisi kwa kuhusiana na wanawake, kwa kuwa wao ni bikira. Hao ndio wanaomfuata Mwana-Kondoo kila aendako. Wame nunuliwa kutoka miongoni mwa wanadamu wakawa matunda ya kwanza kutolewa kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo.