Ufunua Wa Yohana 14:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Moshi wa mateso yao hupanda juu milele na milele; wala hakuna nafuu, mchana au usiku, kwa wale wamwabuduo huyo mnyama na sanamu yake au kwa ye yote anayepokea alama ya jina lake.”