Ufunua Wa Yohana 14:1
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Kisha nikatazama na mbele yangu nikamwona Mwana-Kondoo amesimama juu ya Mlima Sioni akiwa pamoja na watu 144,000 ambao kwenye vipaji vya nyuso zao waliandikwa jina la Mwana-Kondoo na jina la Baba yake.