Ufunua Wa Yohana 13:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Jambo hili linahitaji hekima. Mwenye akili ya kutambua apige hesabu ya mnyama huyo kwa sababu ni namba ya mtu. Namba yake ni mia sita sitini na sita.