Ufunua Wa Yohana 13:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikamwona mnyama mwingine akipanda juu kutoka katika ardhi. Alikuwa na pembe mbili kama za mwana kondoo lakini aliongea kama joka.