Ufunua Wa Yohana 12:4
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Mkia wake ulifagia theluthi moja ya nyota zote angani na kuziangusha ardhini. Joka hili likasimama mbele ya yule mwanamke aliyekuwa karibu kujifungua, likiwa tayari kumla huyo mtoto mara tu atakapozaliwa.