Ufunua Wa Yohana 12:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha lile joka likashikwa na ghadhabu kwa ajili ya huyo mama, likaondoka kwenda kupigana vita na watoto wake waliobakia, wale wanaozitii amri za Mungu na kumshuhudia Yesu. Lile joka likasimama kwenye mchanga wa bahari.