Ufunua Wa Yohana 12:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, mafuriko yakamfuata huyo mama ili yamchukue.