Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Ufunua Wa Yohana 12:1
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo ishara kuu ikaonekana mbinguni: palikuwa na mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili ilikuwa juu ya kichwa chake.
Read full chapter →
Compare all translations →