Ufunua Wa Yohana 11:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha wale manabii wawili wakasikia sauti kuu kutoka mbinguni ikiwaambia, “Njooni huku juu!” Nao wakapaa mbinguni katika wingu, wakati maadui zao wakiwatazama.