Ufunua Wa Yohana 11:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Watu waishio duniani watafura hia kifo cha manabii hao wawili na kushangilia kwa kupeana zawadi kwa sababu manabii hao waliwatesa watu waishio ulimwenguni.