Ufunua Wa Yohana 11:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo nikapewa kipimo kama fimbo, nikaambiwa, “Nenda kapime Hekalu la Mungu pamoja na madhabahu na uwahesabu watu waabuduo humo.