Ufunua Wa Yohana 10:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi nikaenda, nikamwomba yule malaika anipe ile hati ndogo. Akaniambia, “Ichukue uile. Itakuwa chungu tumboni mwako, lakini mdomoni mwako itakuwa tamu kama asali.”