Ufunua Wa Yohana 10:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Naye akaita kwa sauti kuu kama simba anayenguruma. Alipopaza sauti, ngurumo saba ziliitikia kwa kishindo.