Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Ufunua Wa Yohana 10:1
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. Alikuwa amevaa wingu, na upinde wa mvua kich wani. Uso wake uling’aa kama jua na miguu yake ilikuwa kama nguzo za moto.
Read full chapter →
Compare all translations →