Tito 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata mmojawapo wa manabii wao amesema: “Wakrete ni waongo siku zote, ni kama wanyama wabaya, walafi na wavivu.”