Matendo Ya Mitume 9:42

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Habari hizi zilienea sehemu zote za Jopa. Na watu wengi wakamwamini Bwana.