Matendo Ya Mitume 9:40

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro akawatoa wote nje, kisha akapiga magoti akaomba; akaugeukia ule mwili akasema, “Tabita, Amka!” Dorkasi akafumbua macho na alipomwona Petro, akaketi.