Matendo Ya Mitume 9:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro akamwambia, “Ainea, Yesu Kristo anakuponya; inuka utandike kitanda chako.” Na mara Ainea akainuka.