Matendo Ya Mitume 9:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Huko Dameski alikuwepo mfuasi mmoja jina lake Anania. Bwana akamwita Anania katika ndoto, “Anania! ” Akaitika, “Nipo hapa Bwana.”