Matendo Ya Mitume 7:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hawa babu zetu walimwonea Yusufu ndugu yao wivu, wakamwuza utumwani Misri. Lakini Mungu alikuwa pamoja naye.