Matendo Ya Mitume 7:60

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akapiga magoti akalia kwa sauti kubwa akasema, “Bwana usiwahesabie dhambi hii.” Baada ya kusema haya, akafa.