Matendo Ya Mitume 7:58

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamtupa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Na mashahidi walioteuliwa walimwachia kijana mmoja aitwae Sauli mavazi yao.