Matendo Ya Mitume 7:55

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini Stefano akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, alitazama mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, akamwona Yesu amesimama upande wa kulia wa Mungu.”