Matendo Ya Mitume 7:41

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Siku hizo wakatengeneza kinyago mfano wa ndama, wakakitolea sadaka za kuteketezwa, kisha wakafanya sherehe kushangilia kitu walichotengeneza kwa mikono yao wenyewe.