Matendo Ya Mitume 7:36

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Aliwaongoza wana wa Israeli kutoka Misri, baada ya kufanya maajabu na ishara nyingi huko Misri na katika bahari ya Shamu, na katika jangwa kwa muda wa miaka arobaini.