Matendo Ya Mitume 7:34

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nimeona mateso ya watu wangu walioko Misri, na nimesikia kilio chao, nami nimeshuka ili niwaokoe. Basi sasa nitakutuma Misri.’