Matendo Ya Mitume 7:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
akamwambia, ‘Ondoka kutoka katika nchi yako na kutoka kwa jamii yako uende katika nchi nitakayokuonyesha.’