Matendo Ya Mitume 7:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Musa aliposikia maneno haya alikim bia akatoka Misri akaenda kuishi kama mkimbizi sehemu za Midiani. Huko akawa baba wa watoto wawili wa kiume.