Matendo Ya Mitume 7:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Musa alipokuwa na umri wa miaka arobaini akawa na hamu ya kuwatembelea ndugu zake Waisraeli.