Matendo Ya Mitume 6:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo ndugu, chagueni watu saba mion goni mwenu; watu wenye sifa njema, waliojawa na Roho Mtakatifu na hekima, ili tuwakabidhi kazi hii.