Matendo Ya Mitume 6:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini hawakuweza kushindana naye kwa sababu ya hekima yake na Roho aliyemwezesha kusema.