Matendo Ya Mitume 5:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Petro akamwuliza, “Niambie, je? Mliuza shamba lenu kwa kiasi hiki?” Akajibu, “Ndio, tuliuza kwa kiasi hicho.”