Matendo Ya Mitume 5:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wajumbe wa baraza la wazee waliposikia haya walijawa na ghadhabu, wakataka kuwaua wale mitume.