Matendo Ya Mitume 5:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mungu wa baba zetu alimfufua Yesu ambaye ninyi mlimwua kwa kumtundika kwenye msalaba.