Matendo Ya Mitume 5:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndipo mtu mmoja akaja akawaambia, “Wale watu mliowatia gerezani wako Hekaluni wakiwafundisha watu.”