Matendo Ya Mitume 5:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata walikuwa wakiwabeba wagonjwa wakawalaza kwenye mikeka barabarani ili Petro alipokuwa akipita kivuli chake kiwa guse angalau baadhi yao, wapone.