Matendo Ya Mitume 28:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
‘Nenda ukawaambie watu hawa, mtasikiliza na kusikiliza, lakini hamtaelewa. Mtatazama na kutazama lakini hamtatambua.