Matendo Ya Mitume 28:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakamwambia, “Hatujapokea barua zo zote zinazoku husu wewe kutoka Yudea, wala hakuna ndugu ye yote aliyefika hapa ambaye ameleta ripoti mbaya kukuhusu.