Matendo Ya Mitume 27:42

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale askari walikuwa wamepanga kuwaua wafungwa wote ili wasije wakaogelea hadi pwani na kutoroka.